2023

DKT. MNGEREZA MZEE MIRAJI ALISHIRIKI MKUTANO WA 57 WA HALMASHAURI YA UONGOZI WA REGIONAL CENTER FOR MAPPING OF RESOURCES FOR DEVELOPMENT (RCMRD) ULIO JUMUISHA MAKATIBU WAKUU KUTOKA BOTSWANA, BURUNDI, COMOROS, ESWATINI, ETHIOPIA, KENYA, LESOTHO, MALAWI, MAURITIUS, NAMIBIA, RWANDA, SUDAN, SOUTH AFRICA, SOUTH SUDAN, TANZANIA, UGANDA, ZAMBIA NA ZIMBABWE ULIOFANYIKA RCMRD COMPLEX, NAIROBI, KENYA KUANZIA TAREHE 16 HADI 18 NOVEMBA 2023.

DKT. MNGEREZA MZEE MIRAJI ALISHIRIKI MKUTANO WA 57 WA HALMASHAURI YA UONGOZI WA REGIONAL CENTER FOR MAPPING OF RESOURCES FOR DEVELOPMENT (RCMRD) ULIO JUMUISHA MAKATIBU WAKUU KUTOKA BOTSWANA, BURUNDI, COMOROS, ESWATINI, ETHIOPIA, KENYA, LESOTHO, MALAWI, MAURITIUS, NAMIBIA, RWANDA, SUDAN, SOUTH AFRICA, SOUTH SUDAN, TANZANIA, UGANDA, ZAMBIA NA ZIMBABWE ULIOFANYIKA RCMRD COMPLEX, NAIROBI, KENYA KUANZIA TAREHE 16 HADI 18 NOVEMBA 2023. Read More »

Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi na Kamati ya Mawasiliano Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakiendelea na ziara Mkoa wa Pwani pamoja na mwenyeji wao Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makaazi

katika muendelezo wa utekelezaji wa muongozo wa Ofisi ya Makamo wa Rais SMT na Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais SMZ unaoelekeza pande zote za muungano kukutana kwa lengo la kubadiishana uzoefu wa utendaji wa majukumu na namna ya kukabiliana na changamoto mbali mbali katika utekelezaji wa majukumu na kukuza ushirikiano katika usimamizi wa

Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi na Kamati ya Mawasiliano Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakiendelea na ziara Mkoa wa Pwani pamoja na mwenyeji wao Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makaazi Read More »

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM) Dkt. Mngereza Mzee Miraji ( kulia ) na Meneja Mkuu wa Kampuni ya ujenzi ya Zanzibar and Weihai Huatan Company Limited wakisaini hati ya makubaliano ya ujenzi wa mradi wa nyumba za bei nafuu Zanzibar.Hafla ya utiaji saini imefanyika September 23, 2023, katika ukumbi wa Golden Tulip, Kiembe Samaki, Airport Zanzibar.

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM) Dkt. Mngereza Mzee Miraji ( kulia ) na Meneja Mkuu wa Kampuni ya ujenzi ya Zanzibar and Weihai Huatan Company Limited wakisaini hati ya makubaliano ya ujenzi wa mradi wa nyumba za bei nafuu Zanzibar.Hafla ya utiaji saini imefanyika September 23, 2023, katika ukumbi wa Golden Tulip, Kiembe Samaki, Airport Zanzibar. Read More »

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dkt. Mngereza Mzee Miraji akiongoza kikao cha pamoja na  wataalamu wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makaazi SMT pamoja na mtaalamu Mr. Munseok Lee kutoka Kampuni ya Hojung Solution Co Ltd.

Kikao hicho kilihusisha majadiliano kuhusiana na uanzishwaji wa Kituo cha Ubunifu cha Mambo ya Kijografia Zanzibar  ( Zanzibar Geo-Innovation Centre ) na mradi wa National Spatial Data Infrastructure –NSDI.  Katika tukio hilo muhimu, pia lilihudhuriwa na Mkurugenzi Mipango, Sera na Utafiti Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Ndg. Ilyasa Pakacha Haji pamoja na Mrajisi

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dkt. Mngereza Mzee Miraji akiongoza kikao cha pamoja na  wataalamu wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makaazi SMT pamoja na mtaalamu Mr. Munseok Lee kutoka Kampuni ya Hojung Solution Co Ltd. Read More »

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali akiongozana na wajumbe wa kamati ya mawasiliano ardhi na nishati ya baraza la wawakilishi katika ziara ya kuangalia eneo linalotarajiwa kujengwa nyumba za makaazi mfikiwa wilaya ya chakechake pemba.

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali akiongozana na wajumbe wa kamati ya mawasiliano ardhi na nishati ya baraza la wawakilishi katika ziara ya kuangalia eneo linalotarajiwa kujengwa nyumba za makaazi mfikiwa wilaya ya chakechake pemba. Read More »

Katibu mkuu wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dk.Mngereza Mzee miraji akipokea wasilisho kutoka watendaji wa kampuni inayoshughulika na miradi ya kigeografia kutoka nchini Ufarasa na wizara ya wizara ya ardhi na makaazi juu ya walichojifunza nchini Uganda

Kampuni inayoshughulika na miradi ya kigeografia kutoka nchini ufarasa imetakiwa kuharakisha ripoti ya upembuzi yakinifu ili kwenda sambamba na wakati uliowekwa. Katibu mkuu wizara ya ardhi na maendeleo ya makaazi dk.mngereza mzee miraji ameyasema hayo huko katika ukumbi wa wizara hiyo maisara  katika kikao cha pamoja  na watendaji wa kampuni hiyo  pamoja na wajumbe kutoka

Katibu mkuu wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dk.Mngereza Mzee miraji akipokea wasilisho kutoka watendaji wa kampuni inayoshughulika na miradi ya kigeografia kutoka nchini Ufarasa na wizara ya wizara ya ardhi na makaazi juu ya walichojifunza nchini Uganda Read More »

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Maakazi Dkt Mngereza Mzee Miraji akiongoza kikao baina ya Taasisi ya Kitaifa ya Kijiografia na Misitu (IGN FI) ya Ufaransa na watendaji wa Wizara yake juu ya kupitia ripoti ya upembuzi yakinifu ya Mradi wa Mfumo wa Usimamizi na Usajili wa Ardhi Zanzibar,kikao hicho kimefanyika June 27,2023.ofisini kwake Maisara Unguja

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dk.Mngereza Mzee Miraji ameitaka kampuni inayoshughulika na miradi ya kigeografia(IGNI FI)kutoka ufaransa kuhakikisha inafata maagizo ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi katika suala zima la kuipima nchi nzima. Aliyasema hayo huko ofisini kwake maisara alipokutana na ujumbe wa kampuni

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Maakazi Dkt Mngereza Mzee Miraji akiongoza kikao baina ya Taasisi ya Kitaifa ya Kijiografia na Misitu (IGN FI) ya Ufaransa na watendaji wa Wizara yake juu ya kupitia ripoti ya upembuzi yakinifu ya Mradi wa Mfumo wa Usimamizi na Usajili wa Ardhi Zanzibar,kikao hicho kimefanyika June 27,2023.ofisini kwake Maisara Unguja Read More »

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali amewatoa hofu wananchi wa Ndijani na Tunguu katika kazi ya tathmini

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali amewatoa hofu wananchi wa Ndijani na Tunguu  katika kazi ya tathmini inayofanywa ndani ya maeneo hayo ambapo kila mwananchi atakaeathirka eneo lake atalipwa kwa mujibu wa thamani ya eneo au kipando chake. Aliyasema hayo huko Ndijani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakati

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali amewatoa hofu wananchi wa Ndijani na Tunguu katika kazi ya tathmini Read More »

Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM) tarehe 03/04/2023 imesaini Hati ya Makubaliano na Kampuni ya Kitaifa ya Kijiografia na Misitu (IGN FI) ya Ufaransa kuhusu Mradi wa Taarifa za Usimamizi na Usaji wa Ardhi Zanzibar.

Akizungumza mara baada ya hafla ya utiaji saini waziri dhamana wa wizara hiyo  Mhe. Rahma Kassim Ali amesema kufanya kazi kwa mfumo wa taarifa za Usimamizi na Usajili wa Ardhi utasaidia kwa kiasi kuondosha migogoro ya ardhi iliyokuwepo Zanzibar. Waziri Rahma aliyasema hayo baada ya kushuhudia hafla ya utiaji saini ambapo ilifanyika Wizara Ardhi na

Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM) tarehe 03/04/2023 imesaini Hati ya Makubaliano na Kampuni ya Kitaifa ya Kijiografia na Misitu (IGN FI) ya Ufaransa kuhusu Mradi wa Taarifa za Usimamizi na Usaji wa Ardhi Zanzibar. Read More »

Utiaji saini wa hati ya makubaliano Baina ya Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Zanzibar na Kampuni ya SINOTEC Jin Hua kwa ajili ya Mradi wa Nyumba za Maendeleo Zanzibar.

Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM) jana imesaini Hati ya Makubaliano na kampuni ya Sinotec kwa ajili ya Mradi wa Nyumba za Maendeleo Zanzibar. Hafla ya utiaji saini imefanyika jana katika ukumbi wa wizara hiyo ambapo kwa upande wa Wizara alisaini Katibu Mkuu Dkt Mngereza Mzee Miraji na kwa kampuni ya Sinotec alisaini

Utiaji saini wa hati ya makubaliano Baina ya Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Zanzibar na Kampuni ya SINOTEC Jin Hua kwa ajili ya Mradi wa Nyumba za Maendeleo Zanzibar. Read More »