Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali akiongozana na wajumbe wa kamati ya mawasiliano ardhi na nishati ya baraza la wawakilishi katika ziara ya kuangalia eneo linalotarajiwa kujengwa nyumba za makaazi mfikiwa wilaya ya chakechake pemba.