Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM) Dkt. Mngereza Mzee Miraji ( kulia ) na Meneja Mkuu wa Kampuni ya ujenzi ya Zanzibar and Weihai Huatan Company Limited wakisaini hati ya makubaliano ya ujenzi wa mradi wa nyumba za bei nafuu Zanzibar.Hafla ya utiaji saini imefanyika September 23, 2023, katika ukumbi wa Golden Tulip, Kiembe Samaki, Airport Zanzibar.