Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

news

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi, Mh Rahma Kassim Ali, amesema Miradi mingi inayoanzishwa na Taasisi mbali mbali za Serikali ni utekelezaji wa maagizo yanayotolewa na Serikali kuu.

Akiweka jiwe la msingi kituo cha kuuzia Mafuta cha Kikosi cha Valantia Makao Makuu ya Mtoni, amesema ujenzi huo ni kielelezo cha Utekelezaji wa majukumu ya msingi kwa kikosi cha Valantia ya kuweka mazingira bora ya Kiuchumi na Maslahi kwa Maafisa na Mskari wake. Akitoa taarifa ya kitaalamu, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za […]

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi, Mh Rahma Kassim Ali, amesema Miradi mingi inayoanzishwa na Taasisi mbali mbali za Serikali ni utekelezaji wa maagizo yanayotolewa na Serikali kuu. Read More »

Kamati ya Mawasiliano,Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi yaridhishwa na utekelezaji wa Miradi inayotekelezwa na Shirika la Nyumba Zanzibar(ZHC). Ziara ya Kamati ya Mawasiliano,Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi imefanya Ziara ya kutembelea Miradi Mbalimbali inayotekelezwa na Wizara Ya Ardhi na Maendeleo Ya Makaazi kupitia Shirika la Nyumba Zanzibar na kuridhishwa na hatua ya utekelezaji wa Miradi hiyo huko kwa fundi Abdul Darajani na Mombasa

Kamati ya Mawasiliano,Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi yaridhishwa na utekelezaji wa Miradi inayotekelezwa na Shirika la Nyumba Zanzibar(ZHC). Ziara ya Kamati ya Mawasiliano,Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi imefanya Ziara ya kutembelea Miradi Mbalimbali inayotekelezwa na Wizara Ya Ardhi na Maendeleo Ya Makaazi kupitia Shirika la Nyumba Zanzibar na kuridhishwa na hatua ya utekelezaji wa Miradi hiyo huko kwa fundi Abdul Darajani na Mombasa Read More »

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali akizungumza katika Mkutano wa pamoja kati ya Taasisi inayoshughulikia Masuala ya Nyumba na Fedha Afrika(AUHF)kwa kushirikiana na Jumuiya ya Kimataifa inayoshughulika na Mikopo ya Nyumba(ISMMA) Hafla iliyofanyika katika Hotel ya Melia Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Mkutano huo Umefunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ambapo Lengo kuu ni Kuwakutanisha Wanachama Pamoja na Wadau mbalimbali kuzungumzia kuhusiana na Uimarishaji na Uboreshaji wa Makaazi bora na nafuu Afrika na Duniani Kote

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali akizungumza katika Mkutano wa pamoja kati ya Taasisi inayoshughulikia Masuala ya Nyumba na Fedha Afrika(AUHF)kwa kushirikiana na Jumuiya ya Kimataifa inayoshughulika na Mikopo ya Nyumba(ISMMA) Hafla iliyofanyika katika Hotel ya Melia Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja. Read More »

Kamati ya Usuluhishi na Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi Unguja na Pemba ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo ambae ni Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo Ya Makaazi Mhe.Salha Mohammed Mwinjuma imefanya Ziara ya kutembelea maeneo yenye Migogoro Pemba ili kuweza kuipatia ufumbuzi Migogoro ambayo iliwasilishwa kupitia kamati hiyo

Kamati ya Usuluhishi na Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi Unguja na Pemba ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo ambae ni Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo Ya Makaazi Mhe.Salha Mohammed Mwinjuma imefanya Ziara ya kutembelea maeneo yenye Migogoro Pemba ili kuweza kuipatia ufumbuzi Migogoro ambayo iliwasilishwa kupitia kamati hiyo Read More »

Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi imeshauriwa kuhakikisha inaendelea na hatua ya utoaji wa Elimu kwa wananchi kuhusiana utaratibu wa Tozo za Ardhi.

Akizungumza katika kikao Maalumu cha Kamati ya Kanuni na Sheria ndogo ndogo ya Baraza la Wawakilishi kilichowashirikisha Wajumbe wa Kamati hiyo watendaji wakuu wa Taasisi pamoja na Wadau wa Kanuni huko katika Ukumbi wa Wizara ya Ardhi Ofisi kuu Pemba Mwenyekiti wa Kamati Mhe.Mihayo Juma Nunga amesema hatua hiyo itasaidia kuondoa Migongano katika Jamii. Wakichangia

Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi imeshauriwa kuhakikisha inaendelea na hatua ya utoaji wa Elimu kwa wananchi kuhusiana utaratibu wa Tozo za Ardhi. Read More »

Katibu mkuu wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dk.Mngereza Mzee miraji akipokea wasilisho kutoka watendaji wa kampuni inayoshughulika na miradi ya kigeografia kutoka nchini Ufarasa na wizara ya wizara ya ardhi na makaazi juu ya walichojifunza nchini Uganda

Kampuni inayoshughulika na miradi ya kigeografia kutoka nchini ufarasa imetakiwa kuharakisha ripoti ya upembuzi yakinifu ili kwenda sambamba na wakati uliowekwa. Katibu mkuu wizara ya ardhi na maendeleo ya makaazi dk.mngereza mzee miraji ameyasema hayo huko katika ukumbi wa wizara hiyo maisara  katika kikao cha pamoja  na watendaji wa kampuni hiyo  pamoja na wajumbe kutoka

Katibu mkuu wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dk.Mngereza Mzee miraji akipokea wasilisho kutoka watendaji wa kampuni inayoshughulika na miradi ya kigeografia kutoka nchini Ufarasa na wizara ya wizara ya ardhi na makaazi juu ya walichojifunza nchini Uganda Read More »

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Maakazi Dkt Mngereza Mzee Miraji akiongoza kikao baina ya Taasisi ya Kitaifa ya Kijiografia na Misitu (IGN FI) ya Ufaransa na watendaji wa Wizara yake juu ya kupitia ripoti ya upembuzi yakinifu ya Mradi wa Mfumo wa Usimamizi na Usajili wa Ardhi Zanzibar,kikao hicho kimefanyika June 27,2023.ofisini kwake Maisara Unguja

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dk.Mngereza Mzee Miraji ameitaka kampuni inayoshughulika na miradi ya kigeografia(IGNI FI)kutoka ufaransa kuhakikisha inafata maagizo ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi katika suala zima la kuipima nchi nzima. Aliyasema hayo huko ofisini kwake maisara alipokutana na ujumbe wa kampuni

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Maakazi Dkt Mngereza Mzee Miraji akiongoza kikao baina ya Taasisi ya Kitaifa ya Kijiografia na Misitu (IGN FI) ya Ufaransa na watendaji wa Wizara yake juu ya kupitia ripoti ya upembuzi yakinifu ya Mradi wa Mfumo wa Usimamizi na Usajili wa Ardhi Zanzibar,kikao hicho kimefanyika June 27,2023.ofisini kwake Maisara Unguja Read More »

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali amewatoa hofu wananchi wa Ndijani na Tunguu katika kazi ya tathmini

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali amewatoa hofu wananchi wa Ndijani na Tunguu  katika kazi ya tathmini inayofanywa ndani ya maeneo hayo ambapo kila mwananchi atakaeathirka eneo lake atalipwa kwa mujibu wa thamani ya eneo au kipando chake. Aliyasema hayo huko Ndijani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakati

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali amewatoa hofu wananchi wa Ndijani na Tunguu katika kazi ya tathmini Read More »