
Katibu mkuu wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dk.Mngereza Mzee miraji akipokea wasilisho kutoka watendaji wa kampuni inayoshughulika na miradi ya kigeografia kutoka nchini Ufarasa na wizara ya wizara ya ardhi na makaazi juu ya walichojifunza nchini Uganda
Kampuni inayoshughulika na miradi ya kigeografia kutoka nchini ufarasa imetakiwa kuharakisha ripoti ya upembuzi yakinifu

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Maakazi Dkt Mngereza Mzee Miraji akiongoza kikao baina ya Taasisi ya Kitaifa ya Kijiografia na Misitu (IGN FI) ya Ufaransa na watendaji wa Wizara yake juu ya kupitia ripoti ya upembuzi yakinifu ya Mradi wa Mfumo wa Usimamizi na Usajili wa Ardhi Zanzibar,kikao hicho kimefanyika June 27,2023.ofisini kwake Maisara Unguja
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dk.Mngereza Mzee Miraji ameitaka kampuni inayoshughulika

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali amewatoa hofu wananchi wa Ndijani na Tunguu katika kazi ya tathmini
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali amewatoa hofu wananchi wa

Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM) tarehe 03/04/2023 imesaini Hati ya Makubaliano na Kampuni ya Kitaifa ya Kijiografia na Misitu (IGN FI) ya Ufaransa kuhusu Mradi wa Taarifa za Usimamizi na Usaji wa Ardhi Zanzibar.
Akizungumza mara baada ya hafla ya utiaji saini waziri dhamana wa wizara hiyo Mhe. Rahma

Utiaji saini wa hati ya makubaliano Baina ya Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Zanzibar na Kampuni ya SINOTEC Jin Hua kwa ajili ya Mradi wa Nyumba za Maendeleo Zanzibar.
Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM) jana imesaini Hati ya Makubaliano na kampuni

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM) Mhe. Rahma Kassim Ali ( kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “B” Hamid Seif Said wakiwa katika eneo la Mgogoro wa Ardhi Fujoni, Unguja
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe.Rahma Kassim Ali ameuagiza uongozi wa Kamisheni ya

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi-Zanzibar Dkt Mngereza Mzee Miraji(aliyesimama) akizungumza na Kamati ya Udhibiti na Usimamizi Ujenzi(DCU) katika ukummbi wa Baraza la Manispaa ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Maghribi Unguja
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Zanzibar Dkt. Mngereza Mzee Miraji ameitaka

Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe. Juma Makungu Juma (wa pili kulia) akiwa katika eneo la Uwekezaji ambalo mhusika hajaliendeleza huko wilaya ya Kati Mkoa wa kusini Unguja
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema itawanyanganya umiliki wa ardhi wenyenji na wageni ambao walipewa kwaajili