Uncategorized
Ziara ya Mh. Waziri wa Ardhi na maendeleo ya Makaazi Zanzibar akikagua miradi ya ujenzi
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe. Rahma Kassim Ali na Naibu waziri Mhe. Salha Mohamed Mwinjuma wakitembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba katika eneo la Darajani kwa fundi Abdul ikiwa ni miongoni mwa miradi ya ujenzi inayosimamiwa na Shirika la nyumba Zanzibar.
Ziara ya Mh. Waziri wa Ardhi na maendeleo ya Makaazi Zanzibar akikagua miradi ya ujenzi Read More »
WIZARA YA ARDHI NA BENKI YA DUNIA ZALENGA KUANZISHA KITUO CHA UBUNIFU NA MAFUNZO YA TAARIFA ZA KIJIOGRAFIA (ZANZIBAR GEO-INNOVATION CENTER)
Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi kwa kushirikiana na Benki ya Dunia wanatarajia kuanzisha kituo cha kisasa kitakachosaidia katika masuala ya Ubunifu na mafunzo ya taarifa za kijiografia (Zanzibar Geo-Innovation Center) ili kuibua wataalamu na wabunifu katika sekta hiyo. Kauli hiyo imetolewa na katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhandisi Dkt. Mngereza
WAZIRI RAHMA KASSIM ALI AAHIDI KUPATIA UFUMBUZI MGOGORO WA ARDHI NDUNDUKE NDANI YA KIPINDI KIFUPI
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe. Rahma Kassim Ali amesema Wizara itaupatia ufumbuzi mgogoro wa Ardhi uliodumu kwa muda mrefu kwa wananchi wa Ndunduke ili kuondosha sitomfahamu na hatimae kuwaruhusu wananchi kuendelea na harakati zao. Mhe. Waziri Rahma Kassim Ali ameeleza hayo wakati alipofika katika eneo hilo la mgogoro liliopo Dole Wizlaya ya
DK. MNGEREZA: SMZ IMEFUNGUA MILANGO YAKE KWA KUWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUJA KUEKEZA ZANZIBAR
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeweka mazingira rafiki kwa kuzifanyia marekebisho sheria zake ili kutoa fursa kwa wawekezaji kuja kuekeza Zanzibar. Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dkt. Mngereza Mzee Miraji ameeleza hayo katika mazungumzo maalum yaliowashirikisha ujumbe kutoka European Mortgage Federation na taasisi inayoshughulikia masuala ya mikopo ya ujenzi wa nyumba ya
Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi na Kamati ya Mawasiliano Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakiendelea na ziara Mkoa wa Pwani pamoja na mwenyeji wao Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makaazi
katika muendelezo wa utekelezaji wa muongozo wa Ofisi ya Makamo wa Rais SMT na Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais SMZ unaoelekeza pande zote za muungano kukutana kwa lengo la kubadiishana uzoefu wa utendaji wa majukumu na namna ya kukabiliana na changamoto mbali mbali katika utekelezaji wa majukumu na kukuza ushirikiano katika usimamizi wa