-
Mradi wa Nyumba za Makaazi na Biashara Mombasa kwa mchina Unguja, ambao umeanza kujengwa Machi mwaka 2023 na
unategemewa kumaliza ndani ya kipindi cha miezi 15 -
Mradi wa Nyumba za Makaazi na Biashara zinazojengwa Mkungu Malofa Chake chake Pemba
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa pamoja na Waziri wa Ardhi
na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali pamoja na wadau Mbalimbali wakiwa katika Mkutano wa pamoja
kati ya Taasisi inayoshughulikia Masuala ya Nyumba na Fedha Afrika(AUHF)kwa kushirikiana na Jumuiya ya
Kimataifa inayoshughulika na Mikopo ya Nyumba(ISMMA) Hafla iliyofanyika katika Hotel ya Melia Kiwengwa Mkoa
wa Kaskazini Unguja.

Mhe. Rahma Kassim Ali
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi
Karibu Wizara ya Ardhi
Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi imeanzishwa kwa tangazo la kisheria Nam: 137 ya mwaka 2020 na Mhe. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi na kuainisha majukumu ya wizara na taasisi zitakazoundwa katika kusimamia Ardhi na Makaazi bora kwa jamii.
DIRA
Kuwa muhimili wa uhakika na wa usalama wa umiliki na matumizi ya Ardhi na Makaazi endelevu kwa maendeleo ya kiuchumi Zanzibar.
Dhamira
Kuhakikisha kwamba Ardhi ya Zanzibar inatoa mchango mkubwa kwa ustawi wa Taifa kupitia mipango bora ya matumizi ya Ardhi kwa ajili ya huduma za makaazi na kiuchumi
Habari Mpya
Taarifa kwa Umma
Video
Video





































