UTANGULIZI
Afisi kuu Pemba ni kiungo kati ya Taasisi za Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi kwa upande Pemba ikiwa na jukumu kuu la kuratibu na kusimamia kazi zote za Wizara kwa upande wa Pemba, Afisi hii inaongozwa/kusimamiwa na Afisa Mdhamini.
Jukumu la Afisi kuu Pemba.
o Kuratibu, kusimamia na Kutekeleza shughuli, Mipango na utawala zinazofanywa na WAMM kwa upande wa Pemba
o Kuratibu na kuwasilisha ripoti au taarifa za utekelezaji za kila robo, nusu na mwaka kwa Katibu Mkuu wa WAMM.
o Kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya wananchi kwa upande wa Pemba
KWA MAWASILIANO ZAIDI FIKA OFISINI GOMBANI CHAKE CHAKE -PEMBA AU WASILIANA NASI:
S.L.P 128
NUKUSHI: 024 2452287
Simu: 024 2452287
BARUA PEPE: infowamm.pemba@ardhismz.go.tz
270 Barabara ya Chake -Wete, 74206 WARA -KUSNI–PEMBA, ZANZIBAR