2023
Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi na Kamati ya Mawasiliano Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakiendelea na ziara Mkoa wa Pwani pamoja na mwenyeji wao Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makaazi
katika muendelezo wa utekelezaji wa muongozo wa Ofisi ya Makamo wa Rais SMT na Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais SMZ unaoelekeza pande zote za muungano kukutana kwa lengo la kubadiishana uzoefu wa utendaji wa majukumu na namna ya kukabiliana na changamoto mbali mbali katika utekelezaji wa majukumu na kukuza ushirikiano katika usimamizi wa
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dkt. Mngereza Mzee Miraji akiongoza kikao cha pamoja na wataalamu wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makaazi SMT pamoja na mtaalamu Mr. Munseok Lee kutoka Kampuni ya Hojung Solution Co Ltd.
Kikao hicho kilihusisha majadiliano kuhusiana na uanzishwaji wa Kituo cha Ubunifu cha Mambo ya Kijografia Zanzibar ( Zanzibar Geo-Innovation Centre ) na mradi wa National Spatial Data Infrastructure –NSDI. Katika tukio hilo muhimu, pia lilihudhuriwa na Mkurugenzi Mipango, Sera na Utafiti Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Ndg. Ilyasa Pakacha Haji pamoja na Mrajisi
Katibu mkuu wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dk.Mngereza Mzee miraji akipokea wasilisho kutoka watendaji wa kampuni inayoshughulika na miradi ya kigeografia kutoka nchini Ufarasa na wizara ya wizara ya ardhi na makaazi juu ya walichojifunza nchini Uganda
Kampuni inayoshughulika na miradi ya kigeografia kutoka nchini ufarasa imetakiwa kuharakisha ripoti ya upembuzi yakinifu ili kwenda sambamba na wakati uliowekwa. Katibu mkuu wizara ya ardhi na maendeleo ya makaazi dk.mngereza mzee miraji ameyasema hayo huko katika ukumbi wa wizara hiyo maisara katika kikao cha pamoja na watendaji wa kampuni hiyo pamoja na wajumbe kutoka
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Maakazi Dkt Mngereza Mzee Miraji akiongoza kikao baina ya Taasisi ya Kitaifa ya Kijiografia na Misitu (IGN FI) ya Ufaransa na watendaji wa Wizara yake juu ya kupitia ripoti ya upembuzi yakinifu ya Mradi wa Mfumo wa Usimamizi na Usajili wa Ardhi Zanzibar,kikao hicho kimefanyika June 27,2023.ofisini kwake Maisara Unguja
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dk.Mngereza Mzee Miraji ameitaka kampuni inayoshughulika na miradi ya kigeografia(IGNI FI)kutoka ufaransa kuhakikisha inafata maagizo ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi katika suala zima la kuipima nchi nzima. Aliyasema hayo huko ofisini kwake maisara alipokutana na ujumbe wa kampuni
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali amewatoa hofu wananchi wa Ndijani na Tunguu katika kazi ya tathmini
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali amewatoa hofu wananchi wa Ndijani na Tunguu katika kazi ya tathmini inayofanywa ndani ya maeneo hayo ambapo kila mwananchi atakaeathirka eneo lake atalipwa kwa mujibu wa thamani ya eneo au kipando chake. Aliyasema hayo huko Ndijani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakati
Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM) tarehe 03/04/2023 imesaini Hati ya Makubaliano na Kampuni ya Kitaifa ya Kijiografia na Misitu (IGN FI) ya Ufaransa kuhusu Mradi wa Taarifa za Usimamizi na Usaji wa Ardhi Zanzibar.
Akizungumza mara baada ya hafla ya utiaji saini waziri dhamana wa wizara hiyo Mhe. Rahma Kassim Ali amesema kufanya kazi kwa mfumo wa taarifa za Usimamizi na Usajili wa Ardhi utasaidia kwa kiasi kuondosha migogoro ya ardhi iliyokuwepo Zanzibar. Waziri Rahma aliyasema hayo baada ya kushuhudia hafla ya utiaji saini ambapo ilifanyika Wizara Ardhi na
Utiaji saini wa hati ya makubaliano Baina ya Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Zanzibar na Kampuni ya SINOTEC Jin Hua kwa ajili ya Mradi wa Nyumba za Maendeleo Zanzibar.
Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM) jana imesaini Hati ya Makubaliano na kampuni ya Sinotec kwa ajili ya Mradi wa Nyumba za Maendeleo Zanzibar. Hafla ya utiaji saini imefanyika jana katika ukumbi wa wizara hiyo ambapo kwa upande wa Wizara alisaini Katibu Mkuu Dkt Mngereza Mzee Miraji na kwa kampuni ya Sinotec alisaini