Katibu mkuu wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dk.Mngereza Mzee miraji akipokea wasilisho kutoka watendaji wa kampuni inayoshughulika na miradi ya kigeografia kutoka nchini Ufarasa na wizara ya wizara ya ardhi na makaazi juu ya walichojifunza nchini Uganda
Kampuni inayoshughulika na miradi ya kigeografia kutoka nchini ufarasa imetakiwa kuharakisha ripoti ya upembuzi yakinifu ili kwenda sambamba na wakati uliowekwa. Katibu mkuu wizara ya ardhi na maendeleo ya makaazi dk.mngereza mzee miraji ameyasema hayo huko katika ukumbi wa wizara hiyo maisara katika kikao cha pamoja na watendaji wa kampuni hiyo pamoja na wajumbe kutoka
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Maakazi Dkt Mngereza Mzee Miraji akiongoza kikao baina ya Taasisi ya Kitaifa ya Kijiografia na Misitu (IGN FI) ya Ufaransa na watendaji wa Wizara yake juu ya kupitia ripoti ya upembuzi yakinifu ya Mradi wa Mfumo wa Usimamizi na Usajili wa Ardhi Zanzibar,kikao hicho kimefanyika June 27,2023.ofisini kwake Maisara Unguja
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dk.Mngereza Mzee Miraji ameitaka kampuni inayoshughulika na miradi ya kigeografia(IGNI FI)kutoka ufaransa kuhakikisha inafata maagizo ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi katika suala zima la kuipima nchi nzima. Aliyasema hayo huko ofisini kwake maisara alipokutana na ujumbe wa kampuni
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali amewatoa hofu wananchi wa Ndijani na Tunguu katika kazi ya tathmini
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali amewatoa hofu wananchi wa Ndijani na Tunguu katika kazi ya tathmini inayofanywa ndani ya maeneo hayo ambapo kila mwananchi atakaeathirka eneo lake atalipwa kwa mujibu wa thamani ya eneo au kipando chake. Aliyasema hayo huko Ndijani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakati
Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM) tarehe 03/04/2023 imesaini Hati ya Makubaliano na Kampuni ya Kitaifa ya Kijiografia na Misitu (IGN FI) ya Ufaransa kuhusu Mradi wa Taarifa za Usimamizi na Usaji wa Ardhi Zanzibar.
Akizungumza mara baada ya hafla ya utiaji saini waziri dhamana wa wizara hiyo Mhe. Rahma Kassim Ali amesema kufanya kazi kwa mfumo wa taarifa za Usimamizi na Usajili wa Ardhi utasaidia kwa kiasi kuondosha migogoro ya ardhi iliyokuwepo Zanzibar. Waziri Rahma aliyasema hayo baada ya kushuhudia hafla ya utiaji saini ambapo ilifanyika Wizara Ardhi na
Utiaji saini wa hati ya makubaliano Baina ya Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Zanzibar na Kampuni ya SINOTEC Jin Hua kwa ajili ya Mradi wa Nyumba za Maendeleo Zanzibar.
Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM) jana imesaini Hati ya Makubaliano na kampuni ya Sinotec kwa ajili ya Mradi wa Nyumba za Maendeleo Zanzibar. Hafla ya utiaji saini imefanyika jana katika ukumbi wa wizara hiyo ambapo kwa upande wa Wizara alisaini Katibu Mkuu Dkt Mngereza Mzee Miraji na kwa kampuni ya Sinotec alisaini
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM) Mhe. Rahma Kassim Ali ( kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “B” Hamid Seif Said wakiwa katika eneo la Mgogoro wa Ardhi Fujoni, Unguja
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe.Rahma Kassim Ali ameuagiza uongozi wa Kamisheni ya Ardhi Zanzibar kushirikiana na ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “B” kuirudisha serikalini eka iliopo fujoni kufuatia kutumika kinyume na utaratibu.Eka hiyo inayomilikiwa na bw Faki Rashed Faki lakini anadaiwa kuikata viwanja na kuviuza kwa ajili ya ujenzi wa
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi-Zanzibar Dkt Mngereza Mzee Miraji(aliyesimama) akizungumza na Kamati ya Udhibiti na Usimamizi Ujenzi(DCU) katika ukummbi wa Baraza la Manispaa ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Maghribi Unguja
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Zanzibar Dkt. Mngereza Mzee Miraji ameitaka Kamati ya Udhibiti na Usimamizi Ujenzi (DCU) kutochelewesha kutoa vibali vya miradi ili ujenzi wa miradi hiyo utekelezwe kwa muda uliyotakiwa. Dkt. Mngereza aliyasema hayo jana baada ya kupokea maoni ya wajumbe katika kikao cha 74 cha kamati hiyo kilichofanyika
Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe. Juma Makungu Juma (wa pili kulia) akiwa katika eneo la Uwekezaji ambalo mhusika hajaliendeleza huko wilaya ya Kati Mkoa wa kusini Unguja
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema itawanyanganya umiliki wa ardhi wenyenji na wageni ambao walipewa kwaajili ya kuekeza lakini wameshindwa kuyaendeleza hivyo sheria itachukua mkondo wake bila ya kumonea mtu muhali. Kauli hiyo imetolewa na Naibu waziri Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Zanzibar Juma Makungu Juma huko Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja
Katibu Mkuu Dr Mngereza Mzee Miraji ameongoza kikao cha pamoja Baina ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi na Taasi ya Rais Ufatiliaji na Usimamizi wa Utendaji serikilini kilichofanyika Golden Tulip kiembe samaki -Zanzibar
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Zanzibar Dkt Mngereza Mzee Miraji amesema wizara yake imeshakamilisha ramani ya mji wa Serikali kiutendaji kwa awamu ya kwanza ambapo maeneo sita yameshaainishwa kwaajili ya kujenga mji huo. Akizungumza mara baada ya kumaliza kikao baina ya wizara yake na Taasisi ya Rais ufuatiliaji na Usimamizi wa