Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Author name: ardhi

VIONGOZI NA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA ARDHINA MAENDELEO YA MAKAAZI ZANZIBAR, WANATOA SALAMU ZA POLE KWA MH. RAIS WA ZANZIBAR NAMWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, PAMOJANA FAMILIA KWA UJUMLA KWA MSIBA MZITO WA KUONDOKEWA NA BABA YETU MPENDWA MAREHEMU MHE. ALI HASSAN MWINYI

VIONGOZI NA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA ARDHINA MAENDELEO YA MAKAAZI ZANZIBAR, WANATOA SALAMU ZA POLE KWA MH. RAIS WA ZANZIBAR NAMWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, PAMOJANA FAMILIA KWA UJUMLA KWA MSIBA MZITO WA KUONDOKEWA NA BABA YETU MPENDWA MAREHEMU MHE. ALI HASSAN MWINYI Read More »

WIZARA YA ARDHI NA BENKI YA DUNIA ZALENGA KUANZISHA KITUO CHA UBUNIFU NA MAFUNZO YA TAARIFA ZA KIJIOGRAFIA (ZANZIBAR GEO-INNOVATION CENTER)

Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi kwa kushirikiana na Benki ya Dunia wanatarajia kuanzisha kituo cha kisasa kitakachosaidia katika masuala ya Ubunifu na mafunzo ya taarifa za kijiografia (Zanzibar Geo-Innovation Center)  ili kuibua wataalamu na wabunifu katika sekta hiyo. Kauli hiyo imetolewa na katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhandisi Dkt. Mngereza

WIZARA YA ARDHI NA BENKI YA DUNIA ZALENGA KUANZISHA KITUO CHA UBUNIFU NA MAFUNZO YA TAARIFA ZA KIJIOGRAFIA (ZANZIBAR GEO-INNOVATION CENTER) Read More »

WAZIRI RAHMA KASSIM ALI AAHIDI KUPATIA UFUMBUZI MGOGORO WA ARDHI NDUNDUKE NDANI YA KIPINDI KIFUPI

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe. Rahma Kassim Ali amesema Wizara itaupatia ufumbuzi mgogoro wa Ardhi uliodumu kwa muda mrefu kwa wananchi wa Ndunduke  ili kuondosha sitomfahamu na hatimae kuwaruhusu wananchi kuendelea na harakati zao. Mhe. Waziri Rahma Kassim Ali ameeleza hayo wakati alipofika katika eneo hilo la mgogoro liliopo Dole Wizlaya ya

WAZIRI RAHMA KASSIM ALI AAHIDI KUPATIA UFUMBUZI MGOGORO WA ARDHI NDUNDUKE NDANI YA KIPINDI KIFUPI Read More »

DK. MNGEREZA: SMZ IMEFUNGUA MILANGO YAKE KWA KUWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUJA KUEKEZA ZANZIBAR

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  imeweka mazingira rafiki kwa kuzifanyia marekebisho sheria zake ili kutoa fursa kwa wawekezaji kuja kuekeza Zanzibar. Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dkt. Mngereza Mzee Miraji ameeleza hayo katika mazungumzo maalum yaliowashirikisha ujumbe kutoka European Mortgage Federation na taasisi inayoshughulikia masuala ya mikopo ya ujenzi wa nyumba ya

DK. MNGEREZA: SMZ IMEFUNGUA MILANGO YAKE KWA KUWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUJA KUEKEZA ZANZIBAR Read More »

DKT. MNGEREZA MZEE MIRAJI ALISHIRIKI MKUTANO WA 57 WA HALMASHAURI YA UONGOZI WA REGIONAL CENTER FOR MAPPING OF RESOURCES FOR DEVELOPMENT (RCMRD) ULIO JUMUISHA MAKATIBU WAKUU KUTOKA BOTSWANA, BURUNDI, COMOROS, ESWATINI, ETHIOPIA, KENYA, LESOTHO, MALAWI, MAURITIUS, NAMIBIA, RWANDA, SUDAN, SOUTH AFRICA, SOUTH SUDAN, TANZANIA, UGANDA, ZAMBIA NA ZIMBABWE ULIOFANYIKA RCMRD COMPLEX, NAIROBI, KENYA KUANZIA TAREHE 16 HADI 18 NOVEMBA 2023.

DKT. MNGEREZA MZEE MIRAJI ALISHIRIKI MKUTANO WA 57 WA HALMASHAURI YA UONGOZI WA REGIONAL CENTER FOR MAPPING OF RESOURCES FOR DEVELOPMENT (RCMRD) ULIO JUMUISHA MAKATIBU WAKUU KUTOKA BOTSWANA, BURUNDI, COMOROS, ESWATINI, ETHIOPIA, KENYA, LESOTHO, MALAWI, MAURITIUS, NAMIBIA, RWANDA, SUDAN, SOUTH AFRICA, SOUTH SUDAN, TANZANIA, UGANDA, ZAMBIA NA ZIMBABWE ULIOFANYIKA RCMRD COMPLEX, NAIROBI, KENYA KUANZIA TAREHE 16 HADI 18 NOVEMBA 2023. Read More »

Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi na Kamati ya Mawasiliano Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakiendelea na ziara Mkoa wa Pwani pamoja na mwenyeji wao Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makaazi

katika muendelezo wa utekelezaji wa muongozo wa Ofisi ya Makamo wa Rais SMT na Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais SMZ unaoelekeza pande zote za muungano kukutana kwa lengo la kubadiishana uzoefu wa utendaji wa majukumu na namna ya kukabiliana na changamoto mbali mbali katika utekelezaji wa majukumu na kukuza ushirikiano katika usimamizi wa

Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi na Kamati ya Mawasiliano Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakiendelea na ziara Mkoa wa Pwani pamoja na mwenyeji wao Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makaazi Read More »

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM) Dkt. Mngereza Mzee Miraji ( kulia ) na Meneja Mkuu wa Kampuni ya ujenzi ya Zanzibar and Weihai Huatan Company Limited wakisaini hati ya makubaliano ya ujenzi wa mradi wa nyumba za bei nafuu Zanzibar.Hafla ya utiaji saini imefanyika September 23, 2023, katika ukumbi wa Golden Tulip, Kiembe Samaki, Airport Zanzibar.

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM) Dkt. Mngereza Mzee Miraji ( kulia ) na Meneja Mkuu wa Kampuni ya ujenzi ya Zanzibar and Weihai Huatan Company Limited wakisaini hati ya makubaliano ya ujenzi wa mradi wa nyumba za bei nafuu Zanzibar.Hafla ya utiaji saini imefanyika September 23, 2023, katika ukumbi wa Golden Tulip, Kiembe Samaki, Airport Zanzibar. Read More »

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dkt. Mngereza Mzee Miraji akiongoza kikao cha pamoja na  wataalamu wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makaazi SMT pamoja na mtaalamu Mr. Munseok Lee kutoka Kampuni ya Hojung Solution Co Ltd.

Kikao hicho kilihusisha majadiliano kuhusiana na uanzishwaji wa Kituo cha Ubunifu cha Mambo ya Kijografia Zanzibar  ( Zanzibar Geo-Innovation Centre ) na mradi wa National Spatial Data Infrastructure –NSDI.  Katika tukio hilo muhimu, pia lilihudhuriwa na Mkurugenzi Mipango, Sera na Utafiti Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Ndg. Ilyasa Pakacha Haji pamoja na Mrajisi

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dkt. Mngereza Mzee Miraji akiongoza kikao cha pamoja na  wataalamu wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makaazi SMT pamoja na mtaalamu Mr. Munseok Lee kutoka Kampuni ya Hojung Solution Co Ltd. Read More »