Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM) tarehe 03/04/2023 imesaini Hati ya Makubaliano na Kampuni ya Kitaifa ya Kijiografia na Misitu (IGN FI) ya Ufaransa kuhusu Mradi wa Taarifa za Usimamizi na Usaji wa Ardhi Zanzibar.
Akizungumza mara baada ya hafla ya utiaji saini waziri dhamana wa wizara hiyo Mhe. Rahma Kassim Ali amesema kufanya kazi kwa mfumo wa taarifa za Usimamizi na Usajili wa Ardhi utasaidia kwa kiasi kuondosha migogoro ya ardhi iliyokuwepo Zanzibar. Waziri Rahma aliyasema hayo baada ya kushuhudia hafla ya utiaji saini ambapo ilifanyika Wizara Ardhi na […]