Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Author name: ardhi

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Maakazi (SMZ) Dkt. Mngereza Mzee Miraji na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Maakazi (SMT) Dkt. Allan H. Kijazi wakiwa katika kikao cha Mashirikiano pamoja watendaji wa Wizara hizo kilichofanyika katika Ukumbuki wa WAMM Maisara Zanzibar

Mashirikiano ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya  Makaazi ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaazi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) yanatarajiwa kuibua kasi ya kiutendaji  katika sekta ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu ili wananchi waweze kudhimudu. Akizungumza Katibu Mkuu Wizara […]

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Maakazi (SMZ) Dkt. Mngereza Mzee Miraji na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Maakazi (SMT) Dkt. Allan H. Kijazi wakiwa katika kikao cha Mashirikiano pamoja watendaji wa Wizara hizo kilichofanyika katika Ukumbuki wa WAMM Maisara Zanzibar Read More »

Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Zanzibar Imeshauriwa Kueka Mikakati Madhubuti Ya Kutoa Elimu Kwa Umma Kuhusu Uzingatiaji Wa Sheria Kanuni Na Taratibu Zinazohusiana Na Sekta Ya Ardhi

Mhe Yahya Rashid Abdallah akitoa ushauri baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya wizara hiyo kwa kipindi cha april hadi Juni 2021 – 2022.  Wajumbe wa kamati ya mawasiliano ardhi na  nishati ya Baraza la Wawakilishi chini ya Mwenyekiti wake Mhe Yahya Rashid Abdallah wametoa ushauri huo baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji

Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Zanzibar Imeshauriwa Kueka Mikakati Madhubuti Ya Kutoa Elimu Kwa Umma Kuhusu Uzingatiaji Wa Sheria Kanuni Na Taratibu Zinazohusiana Na Sekta Ya Ardhi Read More »

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dkt Mngereza Mzee Miraji na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (SMT) Ludovick Nduhiye wakikibidhiana hati ya mashikiriano sekta ya Ujenzi baina ya Serikali zote mbili katika ukumbu wa Madinat Albahar Mbweni-Zanzibar

WAZIRI wa Ujenzi  na Uchukuzi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Prof.Makame Mnyaa Mbarawa amezitaka Taasisi za SMT na SMZ zinazosimamia masuala ya ujenzi kuhakikisha wanawajengea uwezo wahandisi pamoja na wataalamu wa masuala ya ujenzi ili kuweza kufanyakazi hizo kiutaalamu zaidi. Aliyasema hayo wakati alipokua akifunga kikao cha mashirikiano sekta ya Ujenzi baina

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dkt Mngereza Mzee Miraji na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (SMT) Ludovick Nduhiye wakikibidhiana hati ya mashikiriano sekta ya Ujenzi baina ya Serikali zote mbili katika ukumbu wa Madinat Albahar Mbweni-Zanzibar Read More »

Katibu Mkuu Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Dkt. Mngereza Mzee Miraji Amewasisitiza Watendaji Wa Bodi Ya Kondominio Kuhakikisha Huduma Wanazozitoa Zinakwenda Sambamba Na Malengo Ya Serikali

Akizungumza na watendaji hao huko katika ofisi za Bodi hiyo Forodhani, Dkt Mngereza amefahamisha kua lengo ni kuona nyumba zote za ghorofa ambazo bodi inazisimamia kusajiliwa na kupatiwa hati miliki ili kuondokana na changamoto zinazoweza kujitokeza.           Aidha amewataka watendaji hao kusimamia vyema makusanyo ya fedha ambazo Taasisi hiyo inakusanya kupitia vyanzo vyake mbalimbali na kuhimiza

Katibu Mkuu Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Dkt. Mngereza Mzee Miraji Amewasisitiza Watendaji Wa Bodi Ya Kondominio Kuhakikisha Huduma Wanazozitoa Zinakwenda Sambamba Na Malengo Ya Serikali Read More »

Mkurugenzi Ldara Ya Utumishi Na Uendeshaji Kutoka Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Bi.Khamisuu Hamid Mohammed Amesema Mfumo Wa Manunuzi Kwa Njia Ya Kimtandao Utawezesha Taasisi Kufanyakazi Kwa Ufanisi Na Kuondokana Na Udanganyifu.

Akizungumza wakati alipokua  akifungua  mafunzo ya kuwajengea uwezo wafanyakazi wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi kupitia mfumo mpya wa manunuzi kimtandao Mkurugenzi Hamisuu aliwataka wafanyakazi hao kuyatumia ipasavyo mafunzo hayo ili kuweza kufikia lengo lililokusudiwa. Alifahamisha kua mfumo huo ambao ulizinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwentekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali

Mkurugenzi Ldara Ya Utumishi Na Uendeshaji Kutoka Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Bi.Khamisuu Hamid Mohammed Amesema Mfumo Wa Manunuzi Kwa Njia Ya Kimtandao Utawezesha Taasisi Kufanyakazi Kwa Ufanisi Na Kuondokana Na Udanganyifu. Read More »

WAZIRI Wa Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Mhe.Rahma Kassim Ali Ametoa Wito Kwa Wamiliki Wa Eka Za Serikali Ambao Walipewa Kwa Ajili Ya Matumizi Sahihi Ya Kilimo Kuacha Kuzitumia Eka Hizo Kinyume Na Matumizi Hayo

Mhe Rahma alitoa kauli hiyo wakati alipofanya ziara zake ya kutembelea baadhi ya Eka Wilaya ya Magharibi A”na “B”ambapo imebainika kua kuna baadhi ya wenye Eka hizo huzikata viwanja na kuziuza kinyume na matumizi sahihi yaliwekwa na Serikali. Aidha alifahamisha kua Wizara itahakikisha inazifatilia kwa makini Eka zote za Serikali na yoyote atakaekundulikana kwenda kinyume

WAZIRI Wa Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Mhe.Rahma Kassim Ali Ametoa Wito Kwa Wamiliki Wa Eka Za Serikali Ambao Walipewa Kwa Ajili Ya Matumizi Sahihi Ya Kilimo Kuacha Kuzitumia Eka Hizo Kinyume Na Matumizi Hayo Read More »