Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Zanzibar Imeshauriwa Kueka Mikakati Madhubuti Ya Kutoa Elimu Kwa Umma Kuhusu Uzingatiaji Wa Sheria Kanuni Na Taratibu Zinazohusiana Na Sekta Ya Ardhi
Mhe Yahya Rashid Abdallah akitoa ushauri baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya wizara hiyo kwa kipindi cha april hadi Juni 2021 – 2022. Wajumbe wa kamati ya mawasiliano ardhi na nishati ya Baraza la Wawakilishi chini ya Mwenyekiti wake Mhe Yahya Rashid Abdallah wametoa ushauri huo baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji […]