Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali amesitisha harakati za ujenzi katika eneo la Mombasa kwa Mchina Mkabala na Skuli ya Afya Shaa.