Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Ziara ya katibu mkuu na Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi ndg.khadija khamis Rajabu akiongozana na watendaji wa taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo kutembelea maeneo mbalimbali yalitengwa kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za gharama nafuu.