Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Watendaji wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kupitishwa kwa bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya kwa mwaka wa fedha 2024/2025.katika ukumbi wa baraza la wawakilishi chukwani.