Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

news

Utiaji saini wa hati ya makubaliano Baina ya Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Zanzibar na Kampuni ya SINOTEC Jin Hua kwa ajili ya Mradi wa Nyumba za Maendeleo Zanzibar.

Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM) jana imesaini Hati ya Makubaliano na kampuni ya Sinotec kwa ajili ya Mradi wa Nyumba za Maendeleo Zanzibar. Hafla ya utiaji saini imefanyika jana katika ukumbi wa wizara hiyo ambapo kwa upande wa Wizara alisaini Katibu Mkuu Dkt Mngereza Mzee Miraji na kwa kampuni ya Sinotec alisaini […]

Utiaji saini wa hati ya makubaliano Baina ya Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Zanzibar na Kampuni ya SINOTEC Jin Hua kwa ajili ya Mradi wa Nyumba za Maendeleo Zanzibar. Read More »

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM) Mhe. Rahma Kassim Ali ( kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “B” Hamid Seif Said wakiwa katika eneo la Mgogoro wa Ardhi Fujoni, Unguja

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe.Rahma Kassim Ali ameuagiza uongozi wa Kamisheni ya Ardhi Zanzibar kushirikiana na ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “B” kuirudisha serikalini eka iliopo fujoni kufuatia kutumika kinyume na utaratibu.Eka hiyo inayomilikiwa na bw Faki Rashed Faki lakini anadaiwa kuikata viwanja na kuviuza kwa ajili ya ujenzi wa

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM) Mhe. Rahma Kassim Ali ( kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “B” Hamid Seif Said wakiwa katika eneo la Mgogoro wa Ardhi Fujoni, Unguja Read More »

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi-Zanzibar Dkt Mngereza Mzee Miraji(aliyesimama) akizungumza na Kamati ya Udhibiti na Usimamizi Ujenzi(DCU) katika ukummbi wa Baraza la Manispaa ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Maghribi Unguja

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Zanzibar Dkt. Mngereza Mzee Miraji ameitaka Kamati ya Udhibiti na Usimamizi Ujenzi (DCU) kutochelewesha kutoa vibali vya miradi ili ujenzi wa miradi hiyo utekelezwe kwa muda  uliyotakiwa. Dkt. Mngereza aliyasema hayo jana baada ya kupokea maoni ya wajumbe katika kikao cha 74 cha kamati hiyo kilichofanyika

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi-Zanzibar Dkt Mngereza Mzee Miraji(aliyesimama) akizungumza na Kamati ya Udhibiti na Usimamizi Ujenzi(DCU) katika ukummbi wa Baraza la Manispaa ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Maghribi Unguja Read More »

Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe. Juma Makungu Juma (wa pili kulia) akiwa katika eneo la Uwekezaji ambalo mhusika hajaliendeleza huko wilaya ya Kati Mkoa wa kusini Unguja

Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema itawanyanganya umiliki wa ardhi wenyenji na wageni ambao walipewa kwaajili ya kuekeza lakini wameshindwa kuyaendeleza  hivyo sheria itachukua mkondo wake bila ya kumonea mtu muhali. Kauli hiyo imetolewa na Naibu waziri Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Zanzibar Juma Makungu Juma huko Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja

Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe. Juma Makungu Juma (wa pili kulia) akiwa katika eneo la Uwekezaji ambalo mhusika hajaliendeleza huko wilaya ya Kati Mkoa wa kusini Unguja Read More »

Katibu Mkuu Dr Mngereza Mzee Miraji ameongoza kikao cha pamoja Baina ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi na Taasi ya Rais Ufatiliaji na Usimamizi wa Utendaji serikilini kilichofanyika Golden Tulip kiembe samaki -Zanzibar

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Zanzibar Dkt Mngereza Mzee Miraji amesema wizara yake imeshakamilisha ramani ya  mji wa Serikali kiutendaji kwa awamu ya kwanza ambapo maeneo sita yameshaainishwa kwaajili ya kujenga mji huo. Akizungumza  mara baada ya kumaliza kikao baina ya wizara yake na Taasisi ya Rais ufuatiliaji na Usimamizi wa

Katibu Mkuu Dr Mngereza Mzee Miraji ameongoza kikao cha pamoja Baina ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi na Taasi ya Rais Ufatiliaji na Usimamizi wa Utendaji serikilini kilichofanyika Golden Tulip kiembe samaki -Zanzibar Read More »

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Maakazi (SMZ) Dkt. Mngereza Mzee Miraji na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Maakazi (SMT) Dkt. Allan H. Kijazi wakiwa katika kikao cha Mashirikiano pamoja watendaji wa Wizara hizo kilichofanyika katika Ukumbuki wa WAMM Maisara Zanzibar

Mashirikiano ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya  Makaazi ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makaazi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) yanatarajiwa kuibua kasi ya kiutendaji  katika sekta ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu ili wananchi waweze kudhimudu. Akizungumza Katibu Mkuu Wizara

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Maakazi (SMZ) Dkt. Mngereza Mzee Miraji na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Maakazi (SMT) Dkt. Allan H. Kijazi wakiwa katika kikao cha Mashirikiano pamoja watendaji wa Wizara hizo kilichofanyika katika Ukumbuki wa WAMM Maisara Zanzibar Read More »

Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Zanzibar Imeshauriwa Kueka Mikakati Madhubuti Ya Kutoa Elimu Kwa Umma Kuhusu Uzingatiaji Wa Sheria Kanuni Na Taratibu Zinazohusiana Na Sekta Ya Ardhi

Mhe Yahya Rashid Abdallah akitoa ushauri baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya wizara hiyo kwa kipindi cha april hadi Juni 2021 – 2022.  Wajumbe wa kamati ya mawasiliano ardhi na  nishati ya Baraza la Wawakilishi chini ya Mwenyekiti wake Mhe Yahya Rashid Abdallah wametoa ushauri huo baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji

Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Zanzibar Imeshauriwa Kueka Mikakati Madhubuti Ya Kutoa Elimu Kwa Umma Kuhusu Uzingatiaji Wa Sheria Kanuni Na Taratibu Zinazohusiana Na Sekta Ya Ardhi Read More »

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dkt Mngereza Mzee Miraji na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (SMT) Ludovick Nduhiye wakikibidhiana hati ya mashikiriano sekta ya Ujenzi baina ya Serikali zote mbili katika ukumbu wa Madinat Albahar Mbweni-Zanzibar

WAZIRI wa Ujenzi  na Uchukuzi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Prof.Makame Mnyaa Mbarawa amezitaka Taasisi za SMT na SMZ zinazosimamia masuala ya ujenzi kuhakikisha wanawajengea uwezo wahandisi pamoja na wataalamu wa masuala ya ujenzi ili kuweza kufanyakazi hizo kiutaalamu zaidi. Aliyasema hayo wakati alipokua akifunga kikao cha mashirikiano sekta ya Ujenzi baina

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dkt Mngereza Mzee Miraji na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (SMT) Ludovick Nduhiye wakikibidhiana hati ya mashikiriano sekta ya Ujenzi baina ya Serikali zote mbili katika ukumbu wa Madinat Albahar Mbweni-Zanzibar Read More »

Katibu Mkuu Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Dkt. Mngereza Mzee Miraji Amewasisitiza Watendaji Wa Bodi Ya Kondominio Kuhakikisha Huduma Wanazozitoa Zinakwenda Sambamba Na Malengo Ya Serikali

Akizungumza na watendaji hao huko katika ofisi za Bodi hiyo Forodhani, Dkt Mngereza amefahamisha kua lengo ni kuona nyumba zote za ghorofa ambazo bodi inazisimamia kusajiliwa na kupatiwa hati miliki ili kuondokana na changamoto zinazoweza kujitokeza.           Aidha amewataka watendaji hao kusimamia vyema makusanyo ya fedha ambazo Taasisi hiyo inakusanya kupitia vyanzo vyake mbalimbali na kuhimiza

Katibu Mkuu Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Dkt. Mngereza Mzee Miraji Amewasisitiza Watendaji Wa Bodi Ya Kondominio Kuhakikisha Huduma Wanazozitoa Zinakwenda Sambamba Na Malengo Ya Serikali Read More »

Mkurugenzi Ldara Ya Utumishi Na Uendeshaji Kutoka Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Bi.Khamisuu Hamid Mohammed Amesema Mfumo Wa Manunuzi Kwa Njia Ya Kimtandao Utawezesha Taasisi Kufanyakazi Kwa Ufanisi Na Kuondokana Na Udanganyifu.

Akizungumza wakati alipokua  akifungua  mafunzo ya kuwajengea uwezo wafanyakazi wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi kupitia mfumo mpya wa manunuzi kimtandao Mkurugenzi Hamisuu aliwataka wafanyakazi hao kuyatumia ipasavyo mafunzo hayo ili kuweza kufikia lengo lililokusudiwa. Alifahamisha kua mfumo huo ambao ulizinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwentekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali

Mkurugenzi Ldara Ya Utumishi Na Uendeshaji Kutoka Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Bi.Khamisuu Hamid Mohammed Amesema Mfumo Wa Manunuzi Kwa Njia Ya Kimtandao Utawezesha Taasisi Kufanyakazi Kwa Ufanisi Na Kuondokana Na Udanganyifu. Read More »