Kamati ya Mawasiliano,Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi yaridhishwa na utekelezaji wa Miradi inayotekelezwa na Shirika la Nyumba Zanzibar(ZHC). Ziara ya Kamati ya Mawasiliano,Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi imefanya Ziara ya kutembelea Miradi Mbalimbali inayotekelezwa na Wizara Ya Ardhi na Maendeleo Ya Makaazi kupitia Shirika la Nyumba Zanzibar na kuridhishwa na hatua ya utekelezaji wa Miradi hiyo huko kwa fundi Abdul Darajani na Mombasa
November 13, 2024
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali akizungumza katika Mkutano wa pamoja kati ya Taasisi inayoshughulikia Masuala ya Nyumba na Fedha Afrika(AUHF)kwa kushirikiana na Jumuiya ya Kimataifa inayoshughulika na Mikopo ya Nyumba(ISMMA) Hafla iliyofanyika katika Hotel ya Melia Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja.
October 16, 2024
Mkutano huo Umefunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali
Kamati ya Usuluhishi na Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi Unguja na Pemba ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo ambae ni Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo Ya Makaazi Mhe.Salha Mohammed Mwinjuma imefanya Ziara ya kutembelea maeneo yenye Migogoro Pemba ili kuweza kuipatia ufumbuzi Migogoro ambayo iliwasilishwa kupitia kamati hiyo
October 15, 2024
Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi imeshauriwa kuhakikisha inaendelea na hatua ya utoaji wa Elimu kwa wananchi kuhusiana utaratibu wa Tozo za Ardhi.
October 8, 2024
Akizungumza katika kikao Maalumu cha Kamati ya Kanuni na Sheria ndogo ndogo ya Baraza la
Katibu mkuu wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dk.Mngereza Mzee miraji akipokea wasilisho kutoka watendaji wa kampuni inayoshughulika na miradi ya kigeografia kutoka nchini Ufarasa na wizara ya wizara ya ardhi na makaazi juu ya walichojifunza nchini Uganda
July 10, 2023
Kampuni inayoshughulika na miradi ya kigeografia kutoka nchini ufarasa imetakiwa kuharakisha ripoti ya upembuzi yakinifu
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Maakazi Dkt Mngereza Mzee Miraji akiongoza kikao baina ya Taasisi ya Kitaifa ya Kijiografia na Misitu (IGN FI) ya Ufaransa na watendaji wa Wizara yake juu ya kupitia ripoti ya upembuzi yakinifu ya Mradi wa Mfumo wa Usimamizi na Usajili wa Ardhi Zanzibar,kikao hicho kimefanyika June 27,2023.ofisini kwake Maisara Unguja
June 27, 2023
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dk.Mngereza Mzee Miraji ameitaka kampuni inayoshughulika