Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Kamati ya Mawasiliano,Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi yaridhishwa na utekelezaji wa Miradi inayotekelezwa na Shirika la Nyumba Zanzibar(ZHC). Ziara ya Kamati ya Mawasiliano,Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi imefanya Ziara ya kutembelea Miradi Mbalimbali inayotekelezwa na Wizara Ya Ardhi na Maendeleo Ya Makaazi kupitia Shirika la Nyumba Zanzibar na kuridhishwa na hatua ya utekelezaji wa Miradi hiyo huko kwa fundi Abdul Darajani na Mombasa