Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe. Rahma Kassim AliAmetembele Eneo lenye Mgogoro Baina ya Wananchi na Jeshi la Kujenga Uchumi.Eneo hilo lipo Msaan Wilaya ya Micheweni Pemba