Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Kamati ya Usuluhishi na Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi Unguja na Pemba ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo ambae ni Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo Ya Makaazi Mhe.Salha Mohammed Mwinjuma imefanya Ziara ya kutembelea maeneo yenye Migogoro Pemba ili kuweza kuipatia ufumbuzi Migogoro ambayo iliwasilishwa kupitia kamati hiyo