Mkutano huo Umefunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ambapo Lengo kuu ni Kuwakutanisha Wanachama Pamoja na Wadau mbalimbali kuzungumzia kuhusiana na Uimarishaji na Uboreshaji wa Makaazi bora na nafuu Afrika na Duniani Kote
Akiweka jiwe la msingi kituo cha kuuzia Mafuta cha Kikosi cha Valantia Makao Makuu ya Mtoni, amesema ujenzi