Mkurugenzi Ldara Ya Utumishi Na Uendeshaji Kutoka Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Bi.Khamisuu Hamid Mohammed Amesema Mfumo Wa Manunuzi Kwa Njia Ya Kimtandao Utawezesha Taasisi Kufanyakazi Kwa Ufanisi Na Kuondokana Na Udanganyifu.
Akizungumza wakati alipokua akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo wafanyakazi wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi kupitia mfumo mpya wa manunuzi kimtandao Mkurugenzi Hamisuu aliwataka wafanyakazi hao kuyatumia ipasavyo mafunzo hayo ili kuweza kufikia lengo lililokusudiwa. Alifahamisha kua mfumo huo ambao ulizinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwentekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali […]