WIZARA YA ARDHI NA BENKI YA DUNIA ZALENGA KUANZISHA KITUO CHA UBUNIFU NA MAFUNZO YA TAARIFA ZA KIJIOGRAFIA (ZANZIBAR GEO-INNOVATION CENTER)

Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi kwa kushirikiana na Benki ya Dunia wanatarajia kuanzisha kituo cha kisasa kitakachosaidia katika masuala ya Ubunifu na mafunzo ya taarifa za kijiografia (Zanzibar Geo-Innovation Center)  ili kuibua wataalamu na wabunifu katika sekta hiyo. Kauli hiyo imetolewa na katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhandisi Dkt. Mngereza […]

WIZARA YA ARDHI NA BENKI YA DUNIA ZALENGA KUANZISHA KITUO CHA UBUNIFU NA MAFUNZO YA TAARIFA ZA KIJIOGRAFIA (ZANZIBAR GEO-INNOVATION CENTER) Read More ยป