Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

February 2024

WIZARA YA ARDHI NA BENKI YA DUNIA ZALENGA KUANZISHA KITUO CHA UBUNIFU NA MAFUNZO YA TAARIFA ZA KIJIOGRAFIA (ZANZIBAR GEO-INNOVATION CENTER)

Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi kwa kushirikiana na Benki ya Dunia wanatarajia kuanzisha kituo cha kisasa kitakachosaidia katika masuala ya Ubunifu na mafunzo ya taarifa za kijiografia (Zanzibar Geo-Innovation Center)  ili kuibua wataalamu na wabunifu katika sekta hiyo. Kauli hiyo imetolewa na katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhandisi Dkt. Mngereza […]

WIZARA YA ARDHI NA BENKI YA DUNIA ZALENGA KUANZISHA KITUO CHA UBUNIFU NA MAFUNZO YA TAARIFA ZA KIJIOGRAFIA (ZANZIBAR GEO-INNOVATION CENTER) Read More »

WAZIRI RAHMA KASSIM ALI AAHIDI KUPATIA UFUMBUZI MGOGORO WA ARDHI NDUNDUKE NDANI YA KIPINDI KIFUPI

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe. Rahma Kassim Ali amesema Wizara itaupatia ufumbuzi mgogoro wa Ardhi uliodumu kwa muda mrefu kwa wananchi wa Ndunduke  ili kuondosha sitomfahamu na hatimae kuwaruhusu wananchi kuendelea na harakati zao. Mhe. Waziri Rahma Kassim Ali ameeleza hayo wakati alipofika katika eneo hilo la mgogoro liliopo Dole Wizlaya ya

WAZIRI RAHMA KASSIM ALI AAHIDI KUPATIA UFUMBUZI MGOGORO WA ARDHI NDUNDUKE NDANI YA KIPINDI KIFUPI Read More »