Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali amewatoa hofu wananchi wa Ndijani na Tunguu katika kazi ya tathmini
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali amewatoa hofu wananchi wa Ndijani na Tunguu katika kazi ya tathmini inayofanywa ndani ya maeneo hayo ambapo kila mwananchi atakaeathirka eneo lake atalipwa kwa mujibu wa thamani ya eneo au kipando chake. Aliyasema hayo huko Ndijani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakati […]