Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

June 2023

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Maakazi Dkt Mngereza Mzee Miraji akiongoza kikao baina ya Taasisi ya Kitaifa ya Kijiografia na Misitu (IGN FI) ya Ufaransa na watendaji wa Wizara yake juu ya kupitia ripoti ya upembuzi yakinifu ya Mradi wa Mfumo wa Usimamizi na Usajili wa Ardhi Zanzibar,kikao hicho kimefanyika June 27,2023.ofisini kwake Maisara Unguja

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dk.Mngereza Mzee Miraji ameitaka kampuni inayoshughulika na miradi ya kigeografia(IGNI FI)kutoka ufaransa kuhakikisha inafata maagizo ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi katika suala zima la kuipima nchi nzima. Aliyasema hayo huko ofisini kwake maisara alipokutana na ujumbe wa kampuni […]

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Maakazi Dkt Mngereza Mzee Miraji akiongoza kikao baina ya Taasisi ya Kitaifa ya Kijiografia na Misitu (IGN FI) ya Ufaransa na watendaji wa Wizara yake juu ya kupitia ripoti ya upembuzi yakinifu ya Mradi wa Mfumo wa Usimamizi na Usajili wa Ardhi Zanzibar,kikao hicho kimefanyika June 27,2023.ofisini kwake Maisara Unguja Read More »

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali amewatoa hofu wananchi wa Ndijani na Tunguu katika kazi ya tathmini

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali amewatoa hofu wananchi wa Ndijani na Tunguu  katika kazi ya tathmini inayofanywa ndani ya maeneo hayo ambapo kila mwananchi atakaeathirka eneo lake atalipwa kwa mujibu wa thamani ya eneo au kipando chake. Aliyasema hayo huko Ndijani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakati

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali amewatoa hofu wananchi wa Ndijani na Tunguu katika kazi ya tathmini Read More »