Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dkt Mngereza Mzee Miraji na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (SMT) Ludovick Nduhiye wakikibidhiana hati ya mashikiriano sekta ya Ujenzi baina ya Serikali zote mbili katika ukumbu wa Madinat Albahar Mbweni-Zanzibar

WAZIRI wa Ujenzi  na Uchukuzi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Prof.Makame Mnyaa Mbarawa amezitaka Taasisi za SMT na SMZ zinazosimamia masuala ya ujenzi kuhakikisha wanawajengea uwezo wahandisi pamoja na wataalamu wa masuala ya ujenzi ili kuweza kufanyakazi hizo kiutaalamu zaidi. Aliyasema hayo wakati alipokua akifunga kikao cha mashirikiano sekta ya Ujenzi baina […]

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dkt Mngereza Mzee Miraji na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (SMT) Ludovick Nduhiye wakikibidhiana hati ya mashikiriano sekta ya Ujenzi baina ya Serikali zote mbili katika ukumbu wa Madinat Albahar Mbweni-Zanzibar Read More ยป