Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

November 2022

Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Zanzibar Imeshauriwa Kueka Mikakati Madhubuti Ya Kutoa Elimu Kwa Umma Kuhusu Uzingatiaji Wa Sheria Kanuni Na Taratibu Zinazohusiana Na Sekta Ya Ardhi

Mhe Yahya Rashid Abdallah akitoa ushauri baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya wizara hiyo kwa kipindi cha april hadi Juni 2021 – 2022.  Wajumbe wa kamati ya mawasiliano ardhi na  nishati ya Baraza la Wawakilishi chini ya Mwenyekiti wake Mhe Yahya Rashid Abdallah wametoa ushauri huo baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji […]

Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Zanzibar Imeshauriwa Kueka Mikakati Madhubuti Ya Kutoa Elimu Kwa Umma Kuhusu Uzingatiaji Wa Sheria Kanuni Na Taratibu Zinazohusiana Na Sekta Ya Ardhi Read More »

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dkt Mngereza Mzee Miraji na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (SMT) Ludovick Nduhiye wakikibidhiana hati ya mashikiriano sekta ya Ujenzi baina ya Serikali zote mbili katika ukumbu wa Madinat Albahar Mbweni-Zanzibar

WAZIRI wa Ujenzi  na Uchukuzi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Prof.Makame Mnyaa Mbarawa amezitaka Taasisi za SMT na SMZ zinazosimamia masuala ya ujenzi kuhakikisha wanawajengea uwezo wahandisi pamoja na wataalamu wa masuala ya ujenzi ili kuweza kufanyakazi hizo kiutaalamu zaidi. Aliyasema hayo wakati alipokua akifunga kikao cha mashirikiano sekta ya Ujenzi baina

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dkt Mngereza Mzee Miraji na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (SMT) Ludovick Nduhiye wakikibidhiana hati ya mashikiriano sekta ya Ujenzi baina ya Serikali zote mbili katika ukumbu wa Madinat Albahar Mbweni-Zanzibar Read More »