Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

2025

Naibu Wziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe. Salha Mohammed Mwinyjuma amesema ziara za ufatiliaji wa Migogoro ya Ardhi ambayo huwasilishwa Wizarani kupitia Kamati ya Usuluhishi wa Migogoro ya Ardhi zinalenga katika kujiridhisha ili kuweza kupata ufumbuzi wa kisheria bila kumdhulumu Mwananchi yoyote.

Ameyasema hayo huko Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja katika ziara zake za ufatiliaji wa Migogoro ya Ardhi ilioko Paje na Kizimkazi inayohusisha uvamizi wa maeneo kinyume na utaratibu wa makubaliano ya wahusika. Aidha amesema kuwa Wizara kupitia Kamati ya Usuluhishi na utatuzi wa Migogoro ya Ardhi mara baada ya kupokea malalamiko ya Wananchi yanayohusiana na […]

Naibu Wziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe. Salha Mohammed Mwinyjuma amesema ziara za ufatiliaji wa Migogoro ya Ardhi ambayo huwasilishwa Wizarani kupitia Kamati ya Usuluhishi wa Migogoro ya Ardhi zinalenga katika kujiridhisha ili kuweza kupata ufumbuzi wa kisheria bila kumdhulumu Mwananchi yoyote. Read More »

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi, Mh Rahma Kassim Ali, amesema Miradi mingi inayoanzishwa na Taasisi mbali mbali za Serikali ni utekelezaji wa maagizo yanayotolewa na Serikali kuu.

Akiweka jiwe la msingi kituo cha kuuzia Mafuta cha Kikosi cha Valantia Makao Makuu ya Mtoni, amesema ujenzi huo ni kielelezo cha Utekelezaji wa majukumu ya msingi kwa kikosi cha Valantia ya kuweka mazingira bora ya Kiuchumi na Maslahi kwa Maafisa na Mskari wake. Akitoa taarifa ya kitaalamu, Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi, Mh Rahma Kassim Ali, amesema Miradi mingi inayoanzishwa na Taasisi mbali mbali za Serikali ni utekelezaji wa maagizo yanayotolewa na Serikali kuu. Read More »