Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM) Mhe. Rahma Kassim Ali ( kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “B” Hamid Seif Said wakiwa katika eneo la Mgogoro wa Ardhi Fujoni, Unguja
Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe.Rahma Kassim Ali ameuagiza uongozi wa Kamisheni ya Ardhi Zanzibar kushirikiana na ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “B” kuirudisha serikalini eka iliopo fujoni kufuatia kutumika kinyume na utaratibu.Eka hiyo inayomilikiwa na bw Faki Rashed Faki lakini anadaiwa kuikata viwanja na kuviuza kwa ajili ya ujenzi wa […]