Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

September 2023

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM) Dkt. Mngereza Mzee Miraji ( kulia ) na Meneja Mkuu wa Kampuni ya ujenzi ya Zanzibar and Weihai Huatan Company Limited wakisaini hati ya makubaliano ya ujenzi wa mradi wa nyumba za bei nafuu Zanzibar.Hafla ya utiaji saini imefanyika September 23, 2023, katika ukumbi wa Golden Tulip, Kiembe Samaki, Airport Zanzibar.

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM) Dkt. Mngereza Mzee Miraji ( kulia ) na Meneja Mkuu wa Kampuni ya ujenzi ya Zanzibar and Weihai Huatan Company Limited wakisaini hati ya makubaliano ya ujenzi wa mradi wa nyumba za bei nafuu Zanzibar.Hafla ya utiaji saini imefanyika September 23, 2023, katika ukumbi wa Golden Tulip, Kiembe Samaki, Airport Zanzibar. Read More »

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dkt. Mngereza Mzee Miraji akiongoza kikao cha pamoja na  wataalamu wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makaazi SMT pamoja na mtaalamu Mr. Munseok Lee kutoka Kampuni ya Hojung Solution Co Ltd.

Kikao hicho kilihusisha majadiliano kuhusiana na uanzishwaji wa Kituo cha Ubunifu cha Mambo ya Kijografia Zanzibar  ( Zanzibar Geo-Innovation Centre ) na mradi wa National Spatial Data Infrastructure –NSDI.  Katika tukio hilo muhimu, pia lilihudhuriwa na Mkurugenzi Mipango, Sera na Utafiti Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Ndg. Ilyasa Pakacha Haji pamoja na Mrajisi

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Dkt. Mngereza Mzee Miraji akiongoza kikao cha pamoja na  wataalamu wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makaazi SMT pamoja na mtaalamu Mr. Munseok Lee kutoka Kampuni ya Hojung Solution Co Ltd. Read More »