Kikao hicho kilihusisha majadiliano kuhusiana na uanzishwaji wa Kituo cha Ubunifu cha Mambo ya Kijografia Zanzibar ( Zanzibar Geo-Innovation Centre ) na mradi wa National Spatial Data Infrastructure –NSDI.
Katika tukio hilo muhimu, pia lilihudhuriwa na Mkurugenzi Mipango, Sera na Utafiti Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Ndg. Ilyasa Pakacha Haji pamoja na Mrajisi wa Ardhi Dkt. Nassir Hikmany kutoka Kamisheni ya Ardhi, kikao kilicho fanyika tarehe 18/09/2023 Ukumbi wa Wizara Maisara Zanzibar.
Ameyasema hayo huko Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja katika ziara zake za ufatiliaji wa Migogoro ya Ardhi ilioko