Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe. Juma Makungu Juma (wa pili kulia) akiwa katika eneo la Uwekezaji ambalo mhusika hajaliendeleza huko wilaya ya Kati Mkoa wa kusini Unguja
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema itawanyanganya umiliki wa ardhi wenyenji na wageni ambao walipewa kwaajili ya kuekeza lakini wameshindwa kuyaendeleza hivyo sheria itachukua mkondo wake bila ya kumonea mtu muhali. Kauli hiyo imetolewa na Naibu waziri Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Zanzibar Juma Makungu Juma huko Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja […]