Katibu Mkuu Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Dkt. Mngereza Mzee Miraji Amewasisitiza Watendaji Wa Bodi Ya Kondominio Kuhakikisha Huduma Wanazozitoa Zinakwenda Sambamba Na Malengo Ya Serikali

Akizungumza na watendaji hao huko katika ofisi za Bodi hiyo Forodhani, Dkt Mngereza amefahamisha kua lengo ni kuona nyumba zote za ghorofa ambazo bodi inazisimamia kusajiliwa na kupatiwa hati miliki ili kuondokana na changamoto zinazoweza kujitokeza.           Aidha amewataka watendaji hao kusimamia vyema makusanyo ya fedha ambazo Taasisi hiyo inakusanya kupitia vyanzo vyake mbalimbali na kuhimiza […]

Katibu Mkuu Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Dkt. Mngereza Mzee Miraji Amewasisitiza Watendaji Wa Bodi Ya Kondominio Kuhakikisha Huduma Wanazozitoa Zinakwenda Sambamba Na Malengo Ya Serikali Read More ยป