WAZIRI Wa Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Mhe.Rahma Kassim Ali Ametoa Wito Kwa Wamiliki Wa Eka Za Serikali Ambao Walipewa Kwa Ajili Ya Matumizi Sahihi Ya Kilimo Kuacha Kuzitumia Eka Hizo Kinyume Na Matumizi Hayo
Mhe Rahma alitoa kauli hiyo wakati alipofanya ziara zake ya kutembelea baadhi ya Eka Wilaya ya Magharibi A”na “B”ambapo imebainika kua kuna baadhi ya wenye Eka hizo huzikata viwanja na kuziuza kinyume na matumizi sahihi yaliwekwa na Serikali. Aidha alifahamisha kua Wizara itahakikisha inazifatilia kwa makini Eka zote za Serikali na yoyote atakaekundulikana kwenda kinyume […]