Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari kuhusiana na utekelezaji wa taasisi hiyo huko katika ukumbi wa wizara hiyo maisara