Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Ziara ya viongozi wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi wakiongozwa na Katibu Mkuu Khadija Khamis Rajab kutembelea maeneo yaliyotengwa kwa ujenzi wa Nyumba za gharama Nafuu huko Mtemwe Mlilile na Matemwe kigomani Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Tarehe 07/05/2025
Imetolewa na kitengo cha habari na uhusiano(WAMM).