Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe. Rahma Kassim Ali akizindua zoezi la uwekaji wa mabango kwenye maeneo ambayo Serikali imeyatenga kwa shughuli mbali mbali za kimaendeleo Michamvi Mkoa wa Kusini Unguja.

Imetolewa na Kitengo cha Habari (WAMM).