Mwenyekiti wa Mahakama ya Ardhi Zanzibar Is-haka Ali Khamis akimpatia maelezo Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Ndugu Khadija Khamis Rajab wakati alipotembelea katika Afisi za Mahakama hiyo Mwanakwereke Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.

Katika ziara hiyo Katibu Mkuu, Naibu Katibu pamoja na watendaji wa wizara walitembelea Afisi zote za mahakama zilizopo Unguja.