Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na maendeleo ya Makaazi Ndugu Khadija Khamis Rajab akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC) akiwa katika muendelezo wa ziara zake za kutembelea taasisi mbali mbali zilizo chini ya Wizara anayoisimamia.

Imetolewa na Kitengo cha Habari (WUMU)
09/05/2024