Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe.Rahma Kassim Ali akiongoza kikao cha kamati ya uongozi na watendaji wa Wizara ya ardhi na Maendeleo ya Makaazi, Maisara.