Utiaji saini wa hati ya makubaliano Baina ya Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Zanzibar na Kampuni ya SINOTEC Jin Hua kwa ajili ya Mradi wa Nyumba za Maendeleo Zanzibar.

Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi (WAMM) jana imesaini Hati ya Makubaliano na kampuni ya Sinotec kwa ajili ya Mradi wa Nyumba za Maendeleo Zanzibar. Hafla ya utiaji saini imefanyika jana katika ukumbi wa wizara hiyo ambapo kwa upande wa Wizara alisaini Katibu Mkuu Dkt Mngereza Mzee Miraji na kwa kampuni ya Sinotec alisaini […]

Utiaji saini wa hati ya makubaliano Baina ya Wizara Ya Ardhi Na Maendeleo Ya Makaazi Zanzibar na Kampuni ya SINOTEC Jin Hua kwa ajili ya Mradi wa Nyumba za Maendeleo Zanzibar. Read More ยป