Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi-Zanzibar Dkt Mngereza Mzee Miraji(aliyesimama) akizungumza na Kamati ya Udhibiti na Usimamizi Ujenzi(DCU) katika ukummbi wa Baraza la Manispaa ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Maghribi Unguja
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Zanzibar Dkt. Mngereza Mzee Miraji ameitaka Kamati ya Udhibiti na Usimamizi Ujenzi (DCU) kutochelewesha kutoa vibali vya miradi ili ujenzi wa miradi hiyo utekelezwe kwa muda uliyotakiwa. Dkt. Mngereza aliyasema hayo jana baada ya kupokea maoni ya wajumbe katika kikao cha 74 cha kamati hiyo kilichofanyika […]