Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati iliyoanzishwa mwaka 2018 kutokana na mabadiliko yaliyofanywa na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa uwezo aliopewa kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984kifungu 42 (1) toleo la 2010 na kukabidhiwa majukumu ya kusimamia na kuendeleza sekta za Ardhi, Nyumba Maji na Nishati.