Mhe. Rahma amesema hayo katika Afisi ya Kamisheni ya Ardhi wakati akizungumza na wafanyakazi katika kikao maalum kilichowashirikisha watendaji hao chenye lengo la kukuza ufanisi wa kiutendaji wa ofisi hiyo
Kwa upande wake Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe.Salha Mohammed Mwinjuma amewahimiza watendaji wa Kamisheni ya Ardhi kuongeza kasi utendaji kazi na ufanifu katika kuwahudumikia wananchi ili kutimiza adhma ya Serikali