Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali akizungumza katika Mkutano wa pamoja kati ya Taasisi inayoshughulikia Masuala ya Nyumba na Fedha Afrika(AUHF)kwa kushirikiana na Jumuiya ya Kimataifa inayoshughulika na Mikopo ya Nyumba(ISMMA) Hafla iliyofanyika katika Hotel ya Melia Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Mkutano huo Umefunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ambapo Lengo kuu ni Kuwakutanisha Wanachama Pamoja na Wadau mbalimbali kuzungumzia kuhusiana na Uimarishaji na Uboreshaji wa Makaazi bora na nafuu Afrika na Duniani Kote

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Mhe Rahma Kassim Ali akizungumza katika Mkutano wa pamoja kati ya Taasisi inayoshughulikia Masuala ya Nyumba na Fedha Afrika(AUHF)kwa kushirikiana na Jumuiya ya Kimataifa inayoshughulika na Mikopo ya Nyumba(ISMMA) Hafla iliyofanyika katika Hotel ya Melia Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja. Read More ยป