Kamati ya Mawasiliano Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar Ikipokea taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Zanzibar kwa kipindi cha April – Juni kwa mwaka wa Fedha 2023/2024 .Kikao hicho kilichofanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo (WAMM) Maisara Zanzibar.