Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Zanzibar imekutana na uongozi wa Mkoa wa Kaskazini Uguja kwa lengo la kujadili masuala ya usimamizi wa Ardhi katika Mkoa huo.Kikao hicho kimefanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo (Mkokotoni) / Uncategorized / By ardhi